Warsha Ya Wafugaji & Wadau Wa Mifugo Kibaha
HALMASHAURI YA MJI KIBAHA kupitia idara ya mifugo Kwa kushirikiana & MURAL ENTERPRISES tunakuletea *Warsha ya wafugaji & wadau wa mifugo Kibaha*
Juni 19, 2025
Ukumbi wa halmashauri ya mji Kibaha
Karibu tukutane Pamoja, tuzungumze & tusherehekee mafanikio ya sekta ya mifugo Kibaha.